“Baada ya Mark kukimbia na mtoto mmoja ambaye alikuwa naye kwenye mikono yake, mtoto mmoja alibaki ndani ya nyumba akiwa na mama yake wakati Mark anatoka na mmoja. Mama huyo baada ya kusikia milio ya magari na vishindo vya ujio wa watu alimviringisha mtoto huyo kwenye kikapu kidogo ambacho kwa chini kilikuwa na tobo na aliamini kwa uwezo wa mwenyezi MUNGU tobo hilo lingemsaidia mwanae …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments