“Mimi wala sijakuonea kukuuliza, jambo la kujua kuhusu hao watatu na wewe kuulizwa hapa havihusiani, kama ni hivyo basi ningekuua bila hata kukuuliza chochote, nina muda mchache sana wa kukaa hapa nipe hizo taarifa nikuache ujisaidie na maisha yako” Jason alikuwa ameinamia hiyo sehemu ili waongee vizuri mana mwanaume huyo kwa kile ambacho alikutana nacho hakuwa hata na uwezo wa kutoa sauti ikamfikia mtu ambaye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments