Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Tafsiri sahihi za jamii na maisha yetu hazipo kwenye kutafuta maana ya hayo maneno, bali zipo kwenye yale ambayo sisi tunayaishi. Nikiwa na miaka saba tu kuna siku baba yangu aliwahi kuniuliza “Mwanangu ukiwa mkubwa unataka kuwa nani au kufanya nini?” kwa mara ya kwanza nilihisi ananiuliza ili kunitania ama kunipima tu lakini baadae niligundua kwamba alikuwa anamaanisha kuliko mimi nilivyokuwa nadhani, lengo lake kubwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next