Reader Settings

Mwanaume risasi ambayo ilikuwa imepenya kwenye upande wake wa mbavu ilikuwa ina sumu kali sana, baada ya kuhisi utofauti kwenye mwili wake na kuwa mzito isivyo kawaida hakutakiwa kukaa sana kwenye hilo eneo zaidi ya kutoweka haraka iwezekanavyo. Alimsogelea mwanaume yule mahali alipokuwa amejiegesha akiwa anaishia kumalizia pumzi yake ya mwisho, alimfungua mdomo wake ili kujua mwaname huyo alipatwa na nini, aligundua kwamba alikuwa amejing’ata …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next