IGP lusubilo Mtindiga akiwa amemkazia macho Asp Bakari Zalimo ili amweleze ni nani ambaye ameondoka na binti huyo na yeye akabaki ametulia tu hapo, walishtushwa na msafara mwingine wa magari ambao ulionekana kuwa wa mtu mzito kidogo. IGP alipigwa na mshangao mkubwa baada ya kutambua kwamba gari hizo zilikuwa ni gari za Ikulu, mheshimiwa raisi mteule alikuwa amefika hilo.
“Heshima yako mkuu” IGP alitoa heshima …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments