“Hii nchi bwana yaani kila kitu kimekuwa cha hovyo hovyo tu, mimi sitaki kabisa kuamini hiki ambacho kinatokea, inawezekana vipi mtu apotee kimaajabu sana namna hiyo halafu mtu anaahidi kumleta na anatimiza kile ambacho alikuwa amekitekeleza? Hakuna jambo la namna hiyo ndiyo maana huwa naikataa siasa kila siku mimi. Hawa watu wamejaa utapeli sana ndani yao, yaani usikute ni wao wenyewe ndio ambao wanaicheza michezo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments