Mheshimiwa raisi aliweza kurudi Ikulu baada ya kutoka kukutana na IGP kwa dharura ambapo lengo lake kubwa lilikuwa ni kukutana na mwanasheria Yasinta Kobe ambaye kwa bahati mbaya sana wakati anafika pale alikuta tayari amechukuliwa na watu ambao hawakuwa wakijulikana zaidi ya Asp Bakari Zalimo kuelezea kwamba alifanya hivyo ili kutii maagizo ambayo alikuwa amepewa na mtu ambaye alimwelekeza Kwenda kumchukua mwanamke huyo Ubungo.
Alikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments