THE FIFTEEN GREATEST WALLS,
Kwenye hizo kuta za kutisha kumi na tano, hayakuwa mapambo wala majengo kwa ajili ya kupotezea muda, hayo ndiyo yalikuwa ni makao makuu ya CIA ndani ya nchi ya Tanzania, wakiwa wana mapandikizi ya majasusi wao wengi sana ambao walikuwa wanaingia nchini kupitia ubalozi wa Marekani kwa madai ya kwamba walikuwa ni wafanyakazi wa kawaida tu ambao walikuwa wanaletwa kwa ajili …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments