Jason alikuwa kwenye taharuki ambayo ilimhitaji kuwa na zaidi ya utulivu ili kuweza kuweka sawa jambo amblo lilikuwa lipo mbele yake. Alikuwa anaelewa vyema namna mapenzi yanavyo leta taharuki na uhasama miongoni mwa binadamu wote duniani ndiyo maana hakutaka kukurupuka sana kufanya maamuzi ya hiyo sehemu ambayo alikuwa amesimama, alitakiwa kuwaza kwa usahihi sana kabla ya kufanya maamuzi ambayo ni yangeleta suluhisho au yangezalisha tatizo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments