TUNARUDI NYUMA ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI(20) ILIYO PITA.
KAZEH.
Ukisikia hilo jina basi usishtuke sana, hilo ni jina la zamani la manispaa ya Tabora, ukirudi kwenye historia yake ya zamani sana miaka ya 1830 wakati ikiwa inaitwa Unyamwezini ndiko utakako fanikiwa kulipata hilo jina Kazeh, hivyo hilo jina linamaanisha Tabora. Huu ndio mkoa mkubwa zaidi ndani ya nchi ya Tanzania, ambao unasifika sana kwa ulimaji …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments