Reader Settings

Hamza na Airami walijikuta wakiangaliana kwa mshangao. Walijiuliza, Sangara ni jina gani hilo?
Hata hivyo, kwa umri aliokuwa nao Rodriman, kama mtu huyo yupo hai, basi lazima ni watu wanaofahamiana.

Kabla Hamza na Airami hawajafikiria kuhusu suala hilo, nguvu kubwa ya presha ilianza kuwasukuma kwenda mbele kuelekea upande wa kaskazini mashariki.

Ndani ya masaa mawili, mandhari yaliyokuwa mbele yao yalimfanya kupepesa macho mara kadhaa. Hali ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next