Reader Settings

Maneti, mara baada ya kusikia kauli ile, palepale alipandisha uwezo wake wa kichawi na kuzifanya mbawa zake nyeusi za kiwingu kujitengeneza nyuma ya mgongo wake.
Kwa kitendo cha kuzipiga kama kupepea tu, ghafla alirushwa angani na kuruka kama njiwa, kisha akatua juu ya jiwe la barafu umbali wa mita mia moja kutoka alipo Hamza.

Hamza, upande wake, pia aliruka na kutua juu ya jiwe jingine la …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next