Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

IKULU

Dar es salaam ilikuwa imenoga, jiji lilikuwa na shamra shamra za kila mahali, mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vilifurika watu ambao wengine walikuwa wanatofautiana mawazo huku wengine wakiwa wamejawa na furaha isiyo na maelezo ya kutosha. Hakukuwa na utulivu ni kila mtu alivyokuwa anajisikia yeye ndivyo ambavyo alikuwa anafanya kwa nyakati hizo, watu wa vijiweni hawakuwa nyuma kabisa, walikuwa wapo makini kuhakikisha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next