"Mimi kwa majina naitwa Felix Mgisha ila kwa wanao nifahamu wananijua kama Denilo Felix, hili jina la Denilo nilijipa kwa sababu ya mwana mapigano mmoja kutoka China huko ambaye nilikuwa nikimhusudu na kumfuatilia kwa ukaribu sana na huenda hiyo ilikuwa sababu kubwa sana ya mimi kuweza kuipenda sana hiyo tasnia ya mapigano na sio kuipenda tu bali naijua na kuiweza sana tena zaidi ya sana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments