Reader Settings

"Ile ndiyo siku ambayo nilijua kwamba hii nchi haina mapenzi kwangu, ile ndiyo siku ambayo moja kwa moja niliapa kuja kulipa kisasi kizito sana kwenye maisha yangu na ndiyo siku ambayo ilinifanya nikaichukia sana nchi yangu mimi mwenyewe na hapo ndipo kisasi changu juu ya nchi ambayo niliapa kuilinda kwa maisha yangu yote kilipo zaliwa na hakitakuja kuisha mpaka ile siku ambayo nitakamalisha hilo" Denilo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next