"Niliburuzwa mpaka ndani ya nyumba yangu mwenyewe ambayo niliijenga mimi kwa jasho langu. Sebule ilikuwa na ukubwa wa kutosha sana ndiyo maana ilinichukua muda kidogo kuona kila kilichokuwa kinaendelea pale, ule upande ambao mimi nilikuwa nimeelekeza uso wangu, nilimuona mwanaume mmoja ambaye mwilini mwake alikuwa na koti kubwa sana lililo viziba mpaka viatu vyake, huku kichwani akiwa na kofia kubwa, nadhani ndiyo sababu sikuweza kumtambua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments