"Sikuwa kwenye huu ulimwengu tena ambao watu wanauishi kila siku, nilikuwa mbali sana tena mbali na dunia maana sikujua chochote kilichokuwa kinafanyika wala kuendelea. Niliamka kutoka kwenye ule usingizi wa kifo baada ya miaka miwili baadae, unaweza ukashangaa kivipi nizikwe halafu nasema kwamba niliamka kwenye huo usingizi wa kaburini? Huenda kwa akili ya kawaida haiwezekani ila kwangu iliwezekana na ndiyo maana nipo hapa leo naendelea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments