Alphonce akiwa kwenye ule mshangao wa kutaka kujua kwamba huyo binti atafanya kitu gani, moja ya wale vijana ambao walikuwa na chupa kwenye mikono yao alishusha chupa hiyo kwa nguvu ili itue kwenye kichwa cha Monalisa, mwanamke huyo bila hata kuangalia alihisi vizuri sana mvumo wa ule ujio wa chupa ambapo alijigeuza kwa kuruka sarakasi kutoka pale kwenye kiti alichokuwa amekaa na chupa hiyo ikaenda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments