Majira ya usiku huo wa mapema, baada ya Jason kuona ile taarifa ya kukamatwa na IGP tena mhusika mkuu akiwa ni CDF ambaye alikuwa kama baba mkubwa kwake, alitaka kwenda kukutana na mtoto wa kiongozi huyo ambaye alikuwa anajulikana kama Oden Mkupi Makubilo, alihitaji sana kujua uhusika wa Oden kwenye jambo jilo, alikumbuka vyema wale vijana ambao aliwaua kule Mbagala waliwahi kumwambia kwamba walikuwa wametumwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments