Ile mivunjiko ya ile mufupa ilikuwa ni kama tahadhari kwa hao watu ambao walikuwa wanashuhudia mwenzao akiwa anauliwa, walikuwa watano kwa sasa walikuwa wamebakia wanne tu. Mtu huyo kwa mara ya kwanza aliwapa nafasi ya kujichagua kati yao ni nani ambaye alitakiwa kubaki hai ili akarudishe ujumbe kwa bosi wao wakachukulia kama utani sasa ilikuwa inakula kwao wenyewe. Mmoja wao alishtuka sana na kutoa bastola …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments