Reader Settings

watu wote pale sebuleni walikuwa wamepigwa na bumbuwazi kiasi kwamba waliaamua kuzipotezea zile kelele ambazo walizisikia nje mtu akiwa anaomba msaada, Oden hakujua kwamba atamjibu nini dada yake kwa sababu hayo mambo yao yalikuwa yakifanyika kwa usiri mkubwa sana kiasi kwamba wanafamilia au ndugu wa karibu hawakuwa na uwezo wa kujua hilo jambo ukizingatia dada yake hakuwa mtu wa kukaa sana nchini kwani muda mwingi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next