Mwanaume huyo alienda kusimama pembeni ya Jason, kama una kumbukumbu sawa huyo ni mmoja wa wale five poisoned serial Killers ambaye alipewa jukumu la kumlinda Nayrah kwa mara ya kwanza ila kwa sasa alikuwa ameungana na bosi wake baada ya kumpa taarifa Nayrah kwamba huenda hatakuja kumuona tena kwenye maisha yake. Hivyo hapo alikuwa yupo kuhakikisha ulinzi wa bosi wake, hakuwa kijana wa kawaida kama …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments