Reader Settings

Patrick/Seven

Mwanaume wa shoka huyu kutoka ndani ya CIA ambaye alikuwa anaishi ndani ya ardhi ya nchi ya Tanzania, kwa mara ya mwisho kukutana na kiongozi wake John Mwituka alikuwa amepewa kazi ya kwenda kuchunguza na kuwapata hawa wauaji watano ambao walidaiwa kuwa ni hatari sana. Hakukuwa na taarifa za watu hao sehemu yoyote ile zaidi ya yule mmoja ambaye alidaiwa kwamba alikuwa ndani ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next