Alitabasamu na kuikunja sura yake kwa wakati mmoja akihisi kwamba huenda mwanamke huyo alikuwa anautumia muda huo na mwanaume mwingine hivyo alijikuta hata hiyo furaha yenyewe inakata kabisa kwenye nafsi yake, alikuwa ana uhakika kwamba kijana huyo hakuwa ameshindwa kazi hiyo bali alikuwa anamtafutia ni yeye nafasi ya kuwa karibu na mwanamke huyo ndiyo maana alimpa taarifa kwamba awasaidie kumtafuta ila alijiuliza kama hata kijana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments