"Seven" monalisa aliita kwa mshangao huku akiwa analipuuza swali la Alphonce
"Ndo huyo bwana mdogo ambaye amefanya siku nzima umesusa kabisa kurudi nyumbani" Seven aliuliza swali hilo ndani yake kukiwa na sauti ya wivu mkali sana pamoja na hasira zisizo na kipimo. Alphonce kuitwa bwana mdogo kwake ilikuwa ni moja kati ya dharau kali kuwahi kukutana nayo kwenye maisha yake, halafu leo mwanaume mmoja tu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments