Asp Bakari zalimo usiku wa siku hiyo alikuwa anauona kama mrefu sana kwa upande wake maana ni kama vile masaa yalikuwa hayasogei kabisa. Siku hiyo ilikuwa ni ngumu sana kwa upande wake yeye na familia yake, baba huyo wa watoto wawili na mke mmoja, tangu muda wa usiku ambao alipigiwa simu na kuelekezwa kwamba kuna sehemu ambayo anatakiwa kufika haraka sana kwa ajili ya kumchukua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments