Asp Bakari Zalimo alionyesha shauku kubwa sana ya kuhitaji kujua kama mheshimiwa hapo kwake alikuwa amefuata kitu gani mpaka akaja mida hiyo japo alikuwa anaelewa kwamba jambo hilo lilikuwa na muunganiko mkubwa sana na lile la kupatikana kwa Yasinta Kobe. Lakini akiwa kwenye hiyo shauku wakati huo mheshimiwa anapata kahawa taratibu walisikia ujio wa gari karibu na nyumba ya afisa huyo wa polisi, mheshimiwa raisi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments