Alphonce alishtuka kwenye usingizi wa kifo, kwa wakati huo hata jina lake yeye mwenyewe ingekuwa ni ngumu sana kulitaja kwani kichwa hakikuwa cha kwake tena. Mwili uliokosa matumaini kwa maumivu uliutekenya vilivyo moyo wake wakati huo yeye anayafumbua macho yake kwa shida sana.
Mwanaume huyo alijikuta yupo juu ya kitanda, aliangaza huku na huku lakini hakuona kitu chochote zaidi ya vioo ambavyo vilizungushiwa kwenye hicho …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments