Jason aligeuka na kumuangalia mdunguaji maarufu huyo akiwa ana tabasamu, ni mara chache sana mtu huyo alikuwa anaonekana akiwa na tabasamu kwenye uso wake.
“Umenishangaza sana, unapigwaje na kufikia hatua ya kushindwa kuubeba mwili wako, bado unaonekana wewe ni mdhaifu sana ndiyo maana huwa nakwambia kila siku punguza starehe zisizo na msingi hizo maana kwa jana ulikuwa unakufa kijinga sana” Jason aliongea akiwa anamuonyeshea mwenzake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments