Monalisa alishtuka kutoka kwenye usingizi wa kifo, mwili wake ukiwa umechoka sana hauna hata hali ila angefanyaje? Hakuwa na namna Zaidi ya kujizoa kitandani. Ule uchovu ambao alikuwa nao, ulimfanya arudishe tena mgongo wake kwenye godoro lililo tengenezwa kwa ubora mkubwa mno na hakuwa na namna tena, hapo alipata kutuliza kichwa chake vyema ila alishtuka ghafla na kukaa chini ya kitanda.
“Yuko wapi huyu mwanaume?” …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments