Upande wa gereza la Segerea majira hayo ya asubuhi, iliingia gari mpya kabisa ambayo haikuwa hata na plate number. Bmw X7 ndiyo gari ambayo ilionekana hayo maeneo, kwanza walishangaa sana gari inatembeaje barabarani huko bila kuwa na plate number? Hakuna mtu ambaye alikuwa na jibu juu ya hilo jambo ila nadhani walikuwa na imani kwamba mhusika mwenyewe alikuwa hapo kwa ajili ya kuwapa majibu sahihi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments