Jason alitembea taratibu humo ndani maana kulikuwa na vyumba vingi sana, mbele yake aliona kuna chumba kimoja ambacho kilikuwa kimejitenga na vingine, alifika hapo akamkuta askari mmoja ambaye alimpa ishara sehemu ya kwenda. Alitabasamu baada ya kuona mzee huyo alipewa chumba ambacho kwa aina yake kilikuwa kisafi ukilinganisha na vile vingine.
“Shikamoo kaka” kwa mara ya kwanza tangu arudi kutoka ndani ya taifa la Marekani, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments