Reader Settings

Jason alitoka pale mpaka nje ya geti kabisa ambapo geti hilo lilikuwa wazi kabisa na hakukuwa na mtu yeyote yule wala hakukuwa kabisa na dalili ya uwepo wa mfungwa yeyote karibu na maeneo ambayo yeye alikuwa anapita, alisikitika kwa sababu walikuwa wamemuwekea mtego wa kitoto sana kwani walimuacha ajione yupo huru ila alijua kwamba ni lazima kuna watu wangeanza kumufuatilia kwa namna yoyote ile na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next