Saa kumi na moja kasoro dakika zake kumi ya asubuhi ndio muda ambao Asharose Mkupi Makubilo alikuwa anshtuka kwenye ule usingizi wa hofu ambao uliupata wakati anashuhudia kaka yake akiwa anauawa, hivyo ndivyo mawazo yake yalivyokuwa yanamuongoza lakini mwanaume huyo wala hakuuawa kama alivyokuwa amedhania yeye bali alichukuliwa na kwenda kuhifadhiwa sehemu ambayo ilikuwa inamlazimu aseme ukweli wote ambao yeye anaujua.
Miili ya watu ilikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments