“MD unatakiwa kujua kwamba hata wewe hapo una familia, kama ningehitaji kuiumiza familia yako basi mpaka hivi ninavyo ongea na wewe isingekuwa hai. Umenisingizia kwamba nilimchukua mtoto wako lakini haikuwa hivyo, sijawahi kuigusa kabila ile familia mpaka kesho siwezi kufanya hilo jambo ila unapaswa uelewe kwamba mwanangu hahusiani na jambo lolote kati ya haya” CDF alisogea pembeni na kuketi wakawa wapo uelekeo sawa wakiwa wanaangalia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments