Reader Settings

Wote walibaki kimya humo ndani hakuna hata mmona ambaye alikuwa anaongea, ni kama kila mtu alikuwa anaongea na nafsi yake kwanza na kumsubiri mwenzake ndiye aanzishe hayo maongezi.

“Hili jambo haliwezekani kabisa na hii ni njia ambayo huenda unaitumia ili kutaka kumkomboa huyu mtoto. Napiga sana hesabu zangu kichwani lakini naona zinagoma kabisa, nina uhakika usingeweza kuishi miaka yote hiyo bila kunitafuta tena ukiwa unanisaliti …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next