Reader Settings

Majira ya saa saba kasoro za usiku maeneo ya Riverside karibu na ilipo Mikasa Lounge ilisimamishwa gari moja ya kifahari sana, ndani yake alishuka mwanaume ambaye mwili wake ulikuwa ndani ya suruali nyeusi, buti jeusi, tisheti laini nyeusi ambayo iliuchora mwili wake vyema sana pamoja na koti jeusi bila kusahau kofia nyeusi kwenye kichwa chake.

Hakuhitaji kujielezea mara mbili ili uweze kujua kama ana pesa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next