Reader Settings

Oden alifunguliwa baada ya kukubali kuusema ukweli wote ambao alikuwa anaujua, alijaribu kusimama kutoka pale alipo kuwepo ndipo alishtuka na kujua kwamba mguu wake haukuwa na kazi na sio tu ile sehemu ambayo alikatwa muda huo bali goti lake halikuwa likifanya kazi yoyote ile maana lilipigwa risasi jana yake na lilikuwa limefungwa kwa bandeji nyingi sana.

Alilia sana na kujuta kuweza kukutana na mwanaume …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next