Baba: “Nilikuwa nina siku mbili tu tangu nikae ofisini kama mkuu wa majeshi, nilipokea simu kutoka sehemu ambayo sikuijua ni ipi. Yule mtu alinitajia majina yangu yote kuanzia jina la kwanza mpaka la mwisho na kunitajia kila kitu ambacho mimi nakipenda na sikipendi kwenye maisha yangu, mpaka sehemu ambayo nilikuwa ninaishi, kiufupi ni kwamba alikuwa ana taarifa zangu zote”
Baba: “Aliniambia kwamba ana taarifa zangu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments