Baba: “Basi ile ndiyo siku ambayo mimi niliwakataa watanzania wenzangu, ndiyo siku ambayo mimi niiikubali ile kazi na ndiyo siku ambayo niliisaliti nchi yangu jumla kwa kukubali kuiangamiza. Huenda napaswa kulaumiwa sana kwa ajili ya hilo lakini mimi binafsi sioni kama nastahili kulaumiwa kwa chochote. Kwa sababu, nalaumiwa vipi kuwasaliti watu ambao hawajijali hata wao wenyewe? Nalaumiwa vipi kuwasaliti watu ambao hawana muda wala uchungu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments