Jason baada ya kutoka kwenye kile chumba ambacho alikuwa anamhoji Oden, alienda moja kwa moja mpaka kwenye chumba kingine cha kifahari sana ambacho kilikuwa juu. Lifti iliishia njiani wakati anapandisha juu, aliingia kwenye hicho chumba kupitia lenzi ya mboni ya jicho lake mlango ukafunguka, aliingia ndani mahali ambapo ilikuwa ni kama nyumba kabisa imekamilika kwa ajili ya watu kuishi.
Ubora wa chumba kizima pamoja na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments