JNIA
Ndani ya uwanja mkubwa kabisa wa Julius Nyerere International Airport, ndege kubwa aina ya Fly Emirates ilikuwa inatua majira ya saa nne za usiku. watu waliambiwa wangeanza kushuka ndani ya dakika kumi na tano zilizo kuwa zinafuatia kutokana na hali ya hewa kutokuwa nzuri sana nje hivyo ili kulinda usalama wa abiria wao walitakiwa wasubiri kwamba kila kitu kiwekwe vyema ndipo wangeruhusiwa kushuka.
Wakati …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments