Reader Settings

Yule mwanaume ambaye alikuwa pale chini hakuwa mwingine bali ndiye mwanaume ambaye alimfanya mpaka siku hiyo aendelee kuwa hai. Dismas ndilo liliuwa jina lake, huyu alikuwa jasusi mwenzake ambaye alimuokoa kutoka kwenye kaburi ambalo alikuwa amefukiwa kwake Tabata, na ndiye mwanaume ambaye alimtibu na kuweza kuurejesha uwezo wake wa mapigano kwa miaka isiyo pungua miwili huko Shinyanga vijijini kwa bibi yake.

Ndiye huyu ambaye leo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next