Reader Settings

Majira ya usiku sana, Jason alitoka na pikipiki akiwa ndani ya mawazi yake meusi, ni usiku ambao kwa jiji la Dar es salaam huwa linachangamka sana hususani katika zile sehemu za starehe sana lakini kwenye mitaa yenye utulivu mkubwa huwa kunakuwa kimya sana. Safari yake ilienda kuishia Makongo juu kwa kaka yake mkubwa ambaye yeye alizoea sana kumuita baba mkubwa kutokana na umri wake kuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next