Uzalendo unaanzia utotoni, watoto muda mwingi hawajifunzi kwa kusoma ama kufundishwa bali kwa kuona na ndiyo sababu kubwa ambayo tunasisitiza kwamba mtu wa kwanza kuwajibika kwenye hilo ni kiongozi. Kiongozi ni kioo, kila mtu anataka kujitazama kupitia yeye hivyo kama viongozi wote wakiwa wazalendo na kutimiza majukumu yao kama inavyo takiwa nina imani matatizo mengi ya watu kutolipenda taifa lao yatapungua, kila mtu akiona viongozi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments