CDF hakuamini kabisa kwamba kijana huyo ndiye ambaye alikuwa amemtembelea hapo kwake, alijikuta anachanganyikiwa na hasira zikiwa zinamjaa kwa pamoja. Aliinua hiyo bastola yake na kupiga juu risasi mbili kwa hasira, ila ni kama alifanya kosa kubwa sana kuchukua huo uamuzi kwani wakati anafanya jambo hilo Jason alidunda pale kwenye kiti alipokuwa amekaa, alimfikia mkuu wa majeshi sehemu ambayo alikuwa amesimama na kumkutanisha na goti …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments