Reader Settings

Huyo mtu ambaye alikuwa anamuona mbele yake, alikuwa amevaa tisheti nyepesi ambayo iliubana vyema mwili wake wa mazoezi makali sana, suruali aina ya jeans pamoja na laba nyeupe. Tisheti na laba vyote vilikuwa vyeupe ila suruali yake ilikuwa nyeusi ambayo moja kwa moja rangi yake iliendana na ile rangi la kitambaa ambacho alikuwa amekifunga kwenye kichwa chake. Asp Bakari Zalimo alijikuta anakaa kwenye kiti akihitaji …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next