Jason alirudi ndani ya makao makuu yao ambayo yalikuwa ya siri sana. Ulikuwa ni usiku wa kuelekea kabisa asubuhi na mapema mno lakini hakuna mtu hata mmoja ambaye alikuwa amelala mpaka wakati huo, wote walikuwa wapo sebuleni hapo wakiwa wanapambana kumsaidia Aishi ambaye alikuwa kwenye hali mbaya sana. Alipigwa na kujeruhiwa viabaya sana kwenye mwili wake, kila mtu alikuwa kimya sana na siku hiyo hapo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments