Aliyekuwa amechanganyikiwa na kila kilichokuwa kinaendelea pale alikua ni Asharose, manansheria huyu, aliisikia kauli tata sana kutoka kwa mwanamke ambaye hakuwahi kabisa kumjua kwenye maisha yake wala hakujua kama huyo mwanamke ni nani. Kwa wanaume ambao walikuwa pale tangu zamani anajua sana kwamba hao ni marafiki wakubwa sana tena ambao ni ndugu kabisa japo hawakuzaliwa pamoja.
Ile kauli hakuelewa kati ya wale wanaume aliyekuwa anaambiwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments