Asp Bakari Zalimo aliendesha gari yake hiyo aliyo achiwa na Jason akiwa na mawazo mengi sana kwenye kichwa chake, hakuelewa ni namna gani alitakiwa kufanya ili mambo yaende sawa huko ambako alikuwa ameitwa na mheshimiwa raisi kwani hakuona ukawaida wa mambo hayo ambayo alikuwa anaenda kuyatekeleza huko. Licha ya kuitwa hilo eneo la Ikulu lakini mawazo yake hata hayakuwa kuhusu bahati ya yeye kuwa mmoja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments